Musa Mishamo: Kijana wa Kitanzania anayelinda mashamba kwa macho ya setilaiti
Mhandisi kijana kutoka Mwanza ameanzisha Rada 360, kampuni inayotumia picha za setilaiti kusaidia wakulima kugundua magonjwa ya mimea mapema.